Home Uncategorized Kicukiro: Ng’ombe iliyo katwa na waharibifu imekufa
Uncategorized - April 6, 2017

Kicukiro: Ng’ombe iliyo katwa na waharibifu imekufa

Ngombe ya Mukurira Ferdinand iliyokatwa usiku wa jumatatu katika tarafa ya Kigarama leo asubui alhamisi wame kuta imekufa kama vile husema wenyeji.

Jana juma tano ng’ombe hio baada ya kushonwa na waganga wa mafugo ilikuwa imeanza kula majani kama vile husema umuseke.

ngombe

Jamii hio ambao ilifisha ng’ombe huwa na hofu ya kuwa yule ambaye alikata fugo hilo huweza kurudi na kukata hata mtu.

Wakati upelelezi huendelea Polisi tayari imewakamata watu wawili ambao hufikiliwa kuhusika na kukata ng’ombe hio ya munusra wa mauaji ya Kimbari.

Mukurira asema kwamba ng’ombe yake ilipoteza damu nyingi na ilikatwa katwa shingo kwa hali ya juu.

Wakaaji wa mahali hapo huona kuwa tendo hilo lilifanywa na wanao kuwa na itikadi ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi. Walio tibu ng’ombe walisema kuwa ilipigwa mipanga saba shingoni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.