Swahili
HABARI

Kicukiro: Ngazi za usalama zimeomba kutia mkazo kwa kuzuia makosa

Ngazi za usalama katika wilaya ya Kicukiro zimeomba kutia mkazo kwa kuzuia makosa ili kuzingatia usalama wa wakaaji na vitu vyao.

Tarhe 3 Februari 2017 ndipo kiongozi wa wilaya Dr Nyirahabimana Jeanne alitoa ujumbe alipo anzisha mafundisho ya siku mbili ya wahusika na usalama wa wilaya, na mafundisho hao hupitika katika kiini ya Kabeza, tarafa ya Kanome.

Kuanzisha mafundisho hayo palikuwepo kamishina wa polisi ya Rwanda, Commissioner of Police (CP) Emmanuel Butera; alikua akisimamia kiongozi mkuu wa polisi, CGP Emmanuel K. Gasana, wengine ambao walifuata mafundisho ni polisi, ngazi za usalama wa wilaya DASSO, wapatanishi wa vijana, na wengine wahusika na usalama.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Dr Nyirahabimana aliwaambia wapatao 78 wenye kufuata mafundisho ya kuwa kuzingatia usalama inaomba kuwa na umoja kwa kusaidiana kati ya ngazi za uongozi na wakaaji, na kwa hayo waliombwa kuzuia kila kitu ambaco huweza haribu usalama na kuharibu vifaa tofauti.

CP Butera yeye aliomba wenye kufanya mafundisho hayo kutia mkazo kwa kuzuia na kupiganisha makosa pakiwemo kufanya ubiashara ya watu, dawa za kulevya, wizi ubakaji na ugomvi.

Walifundishwa kuchunguza yanayo zua makosa na kutafuta suluhisho, namna ya kulinda mahali palipo fanyika makosa, kufuatilia yafanyikayo mahakamani na kuwalinda mashuhuda, kupana huduma nzuri, kupinga rushwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com