kwamamaza 7

Kicukiro: Ngazi za usalama na viongozi wa msingi wamepewa elimu kuhusu ajali ya umeme

0

Ngazi za usalama na viongozi wa musingi wa wilaya ya Kicukiro wamepewa elimu kwa ajili ya matokeo ya ajali ya moto wa umeme, namna ya kuzuia na kuzimisha.

Walio pewa elimu ni karibu 82, pakiwemo polisi, jeshi, katibu watendaji wa tarafa na viongozi wa vijana kwa ajili ya kuzingatia usalama na hayo ilikuwa tarehe 5 Februari 2017 wakiwa na kiongozi wa polisi ambaye huhusika na kupambana na ajali ya moto wa umeme Assistant Commissioner of Police (ACP) Jean Baptiste Seminega.

[xyz-ihs snippet=”google”]

ACP Seminega aliwaambia ni vizuri kuzuia kwa kuchomoa vifaa vya umeme wakati havihitajiki kama TV, redio na kazalika. Baada ya kuwambia kinacho weza kuwa chanzo cha ajili, walifundishwa namna ya kuzimisha kupitia Fire extinguishers na walifanya mazoezi, waliambiwa pia ya kuwa waweza tumia maji na mchanga kwa kuzimisha.

ACP Seminega aliwaambi tena kama ajali inapita uwezo wa vifaa vya mwano ni vizuri kujulisha ngazi za juu ili kutoa msaada kwa haraka kwa kupiga simu kwenye namba 111 ama 0788311120.

Kiongozi wa wilaya ya Kicukiro, Dr Nyirahabimana Jeanne aliwaomba walio fundishwa kuwafundisha wenzao wa kazi, wajirani hata familia zao.

Dr Nyirahabimana kwa kumaliza mafundisho hao ya siku mbili, waliopewa elimu walihamasisha kuzingatia usalama na kupiganisha makosa katika wilaya ya Kicukiro.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.