kwamamaza 7

Kicukiro: Mke munusra wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi ameuawa

0

Katika tarafa ya Niboye, wilaya ya Kicukiro mke ajulikanaye kwa jina la Christine Iribagiza, munusra wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi alishambuliwa na watu ambao hawajajulikana wakamuua wakimuniga kwa kamba akiwa kwake nyumbani jana alihamisi tarehe 13 April 2017, na taarifa ilijulikana karibu saa tanu, alikuwa na umri wa miaka 58.

Mke huo alikua akiishi nyumbani kwake akiwa na mtoto mmoja na zamu, ila mtoto hakuwepo, inasemekana ya kuwa yawezekana alikwenda kwenye likizo mahali pengine kwa kuwa ilikuwa karibu wiki mbili haonekane.

ACP Theos Badege, msemaji wa polisi ya Rwanfda amesema ya kuwa wameanza upelelezi kuhusu kifo hicho.

Mtu mmoja ambaye alikuwa akipita njiani karibu ya hapo alisikia zamu akilalamika ndipo pamoja na wengine wakaenda kutazama ni nini kinaendelea na walikuta yupo na hali mbaya, alikuwa amepigwa vyuma sehemu tofauti hali ya kufa walipo ingia nymbani wakakuta mwanamke amefungwa na kamba na amekufa.

[ad id=”72″]

Taarifa husema kuwa mke huo aliye uawa alikuwa amefanya siku chache akija kuishi Rwanda akitoka Ubelgiji.

Mtoto msichana wa mama huo alikuwa amerudi Ubelgiji kabla ya wiki mbili kwa sababu alikuwa Rwanda kutazama mama mzazi, mama mzazi amefariki mtoto na hayupo.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.