Mchezaji wa Mpira wa Kikapu katika Timu ya Golden State Warriors, Kevin Durant amempongoza Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa kuonyesha upendo kwa timu yake.

Rais Kagame alihudhuria mchezo wa hii timu na Houston Rockets juma pili.

“  Ni jambo jema kwamba anatupenda.” Durant ameambia The Undefeated

Mkurugenzi wa NBA, Adam Silva amemshukuru  Kagame kwa kusema “ Rais Kagame na familia yake ni mashabiki maarufu wa NBA. Tunamshukuru anavyounga mkono mchezo huu. Yeye na viongozi wengine barani Afrika wanalenga mchezo huu upige hatua.”

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.