Mahakama kuu ya Nyarugenge imehairisha kesi ya Diane Rwigara,nduguye,Anne Rwigara na mzazi wao Adeline Mukangemanyi baada ya kutonekana kwa mwanasheria wao,Me Buhuru Pierre Celestin.

Mwanasheria huyu hakuonekana mahakamni kwa kuwa alikuwa na kesi nyingine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diane Rwigara anatuhumiwa kutumia hati bandia na kuzusha ghasia nchini,nduguye Anne anatuhumiwa kudhamiria kuzusha ghasia nchini na mama yao,Adeline Mukangemanyi anatuhumiwa uchochezi na kuzusha ghasia nchini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kesi itaendelea tarehe 9 Octoba 2017

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina