kwamamaza 7

Kenya: Maandamano ya wauguzi yaweza kuyaharibu maisha ya wagonjwa wengi

0

[ad id=”72″]

Leo juma tatu tarehe 5 Novemba 2016 wauguzi wa Nairobi nchini Kenya waliamkia kwenye maandamano wakidai mishahara yao na kusema kwamba serikali ilizarau na kupinga mkataba walioufanya na wauguzi hao, kwa hayo hali ya wagogonjwa yakuwa mbaya zaidi na wengi hulala nje ya hospitali.

Daily nation husema kwamba huko Kenya wagonjwa wengi wamerejea kwao bila matibabu kutoka mahali mbali mbali, walio baki wamelazwa nje mahali tofauti bila matibabu.

kenya

Wauguzi hao wameamua kwenda barabarani kuandamana kabla ya kufanya mkutano wao juma pili jioni sehemu nyingi za nchi, na wakaamua kufanya maandamano kama serikali haifanyi lolote ili kuwalipa mishahara wanaodai.

Wauguzi wanasema kwamba kuna mkataba waliufanya na serikari mwaka wa 2013, ila serikari ilitupilia mbali mkataba huo, hata kama maandamano yameanza leo, imekua siku kazaa wauguzi na madaktari hawafanyi kazi yao vizuri kama kawaida.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.