kwamamaza 7

Kazi ya upanuaji wa barabara mjini Kigali imeanza-TAZAMA PICHA

0

[ad id=”72″]

Wenye kua na majenzi karibu ya barabara Muhima tayari wameanza bomoa nyumba zao ili kutayarisha na kuheshimu kanuni za kazi hio.

Nsengiyumva Gaston ni mfanya biashara na yeye husema kwamba ndie wa kwanza aliyejenga nyumba sehemu hio, eti “ tulipo anza kujenga mwaka wa 1998 serikali ilisema kwamba tunapewa udongo kwa muda ndio sababu hatukushituka  tulipo ambiwa kwamba mahali tulipo jenga kutajengwa barabara, na pesa nilizo pewa ni sambamba na ujenzi niliokua nao”.

kigali1 kigali2 kigali3 kkigali

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.