kwamamaza 7

Kayonza: Mbonimpa anashutumiwa vitendo vya ugaidi

0

Polisi ya Rwanda katika wilaya ya Kayonza, jimbo la Mashariki wamemtiya mbaroni Mbonimpa Jacques wakimushutumu kuwatisha wenzake akisema atawaua akisema ni wao chanzo cha kufukiwa kazini.

Mbonimpa alikuwa mfanya kazi wa kiwanda ya soya katika wilaya ya Kayonza na alifukuzwa kwa ajili ya mwenendo mbaya, na aliwazia wenzake wane kuwa ndio walimushitaki na kuwa chanzo cha kufukuzwa na hapo ndipo anaanza kuwatisha na kusema atawaua na kwa gafla walieza hayo polisi kwa ajili ya usalama wao.

Kwa kuanza upelelezi, polisi wamekwekwa kuona kwamba ni ukweli kuwa anawatisha kwamba atawaua.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa polisi wilayani Kayonza, Chief Inspector of Police (CIP) John Nsanzimana amesema wakati walipo fika hakusema lolote ila kajifungia ndani ya nyumba yake.

CIP Nsanzimana amesema ya kuwa polisi walisubiri afungue mlango, na alipo fungua alitafuta jinsi ya kukimbia wakamushika, alitia kelele akitamani kupigana na kujeruhi ila hakuweza kwa kuwa mpango wake hakuwufikia, hivi sasa yupo kwenye stesheni ya Mukarange.

Aliendelea na kusema kuwa ya lazima ilikuwa kuokoa maisha ya hawa wane ambao alitishia kuwaua, na anawashukuru kwa kuwa walijulisha mapema na kosa bado kuwa, na anaomba wakaaji kwamba mtu akiwatisha sherti wajulishe kwa kupata msaada na hayo ni kwa ajili ya usalama wao.

CIP Nsanzimana amesema kwamba kosa ambalo Mbonimpa alifanya huazibiwa na sheria ya Rwanda, na anaweza azibiwa kifungo cha miezi 2 hadi 6, na garama ya pesa za Rwanda elfu 500 hadi miliyoni moja, ao moja ya hao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.