kwamamaza 7

Katika ziara ya rais Kagame nchini Vatican atazungumza na Papa Francis

0

Rais Kagame amekuwa na ziara nchini Vatican, hapo atazungumza na kiongozi wa kanisa Katoliika ulimwenguni, Papa Francis kuhusu ushirikiano wa nchi zote mbili.

Ofisi ya urais wa Jamhuri ya Rwanda wametangaza kuwa rais Kagame amefika Vatican jana juma pili jioni tarehe 19 Mach 2017 kwa mualiko wa Papa Francis.

twitter

Leo juma tatu ndipo rais Kagame atapokelewa na Papa Francis, Juma moshi tarehe 18 Mach 2017,  Papa Francis alimteua mtume wake mpya na kuwa mwakilishi katika nchi Rwanda, Askofu Andrzej Jowzowicz.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwaka nenda ndipo Kanisa Katolika waliomba masamaha kwa niaba ya wakristo wao waliohusika na mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994, na hayo rais Kagame alirudilia katika mkutano wa viongozi wakuu wa nchi akisema sherti Kanisa Katolika waombe masamaha waziwazi kama vile hufanya kwa mapadri waliozini na watoto.

Kanisa Katolika ni kanisa ambalo hua na waamini wengi sana Rwanda na wakiwa na vifaa vya maendeleo pakiwemo shule na hospitali.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.