kwamamaza 7

Katika mji wa Scottish YESU ameonekana mawinguni

0

[ad id=”72″]

Picha ya  ajabu ambayo imeonekana kwenye mji wa Port Wemyss ambao upo kusini mwa kisiwa cha Scottish ni picha ambao inasemakana kwamba YESU yu karibu anakuja, Miongoni mwa watu wa kisiwa hicho waliofanikiwa kuona picha hiyo walibaki wakijiuliza maswali mengi sana bila ya kupata jibu, wengine haya ni moja kati ya maswali ya mashuhuda wa tukio hilo

Hii inaweza kuwa ishara ya Mungu yuko njiani anakuja? Hakuna hata mmoja aliye mjibu lakini kama wewe ni mfuatiliaji wa vitabu vya dini kuwa siku za mwisho ambazo mkuu wa Majeshi atakuja kwetu kutatokea majanaga mengi sana yakiwa mafuriko pia mbadiliko wa hali ya hewa katika siku za mwisho.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.