kwamamaza 7

Kaskazini: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kuchomwa wazazi wakiwa baani

0

Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka miwili kwa majina Kevine Uwikaze ambaye wazazi wake ni wakazi wa tarafa ya Muko,wilayani Musanze amefariki baada ya kitanda chake kuchomwa  tarehe mosi Aprili wakati ambapo wazazi wake walikuwa baani wakinywa pombe.

Msemaji wa polisi mkoani kaskazini,Hamdouni Twizeyimana amehakikisha taarifa hizi kuwa mtoto alifariki juu ya kuchomwa na mwoto kwa kiwango  cha kutopata hata maiti yake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Ni ukweli,mtoto kwa jina la Kevine Uwikaze amefariki kwa kuchomwa”

Hata hivyo,huyu msemaji wa polisi amesema kuwa kuna jambo ambalo halieleweki waziwazi kwa kuwa  kitanda cha marehemu tu ndicho kilichochomwa tu nyumba nzima.

Amengeza kuwa tukio hili linafanyiwa upelelezi ili kugundua chanzo chake

Wazazi wa marehemu Muhawenimana Sonia na Ntibarilkure Cyprien(baba wa kambo) na majirani wao wamefungwa kwenye kituo cha polisi cha Muko ili kufanya ufuatiliaji wa tukio hili vilivyo.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.