kwamamaza 7

Kanisa katolika ya kwanza Rwanda itaingiza kama mahali pa utalii

1

[ad id=”72″]

Kwa niaba ya kupenda mahali pa utalii kanisa katolika  iliyo jengwa ya kwanza nchini Rwanda itaanza kuingiza kama mahalli pa utalii.

Uongozi wa wilaya ya Gisagara husema kuwa utalii itatiwa nguvu mahali hapo na kujulikanisha historia ya mahali hapo, kua kanisa katolika Rwanda ilijengwa kwanza Save hapo wilayani Gisagara.

mayor-gisagara

Rutaburingoga Jerome, kiongozi ya wilaya ya Gisagara amesema kua wako naandaa namna ya kuzalisha mapato mahali hapo, na fasi ya kwanza Rwanda kujengwa kanisa na mapadri.

Kasema ni sherti watu wajue namna gani muzungu alikuja Rwanda na namna gani nguruwe sehemu ya Save kwani yote ilitokana na majenzi ya kanisa.

baptista-bwiza_

Bakagira Jean Baptiste mkaaji wa Save ni mwendesha basikeli amesema alizaliwa na kukuta kanisa hiyo hapo, na watu wakisema kuwa ndio kanisa ya kwanza na huona watu kutoka sehemu mbalimbali kuja kutazama na kupicha, asema tena kama kanisa hio ikiwa hakiba watu watafurahiya sana.

Kama mahali pengine, wilaya ya Gisagara kuna fasi za utalii nyingi, kama sehemu ijulikanayo “twicarabami” katiaka wilaya ya Nyanza, nafasi wafalme wawili walikutania, mfalme wa Rwanda na mfalme wa Burundi na wakasikilizana kwamba hakuna atakaye shambulia mwengine, na mahali pengine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

1 Comment
  1. Fwamba EL says

    Mmefanya vizuri kuanzisha jarida la kiswahili ili kusaidia kukuza na kuenaza lugha ya kiswahili Rwanda. Hongera na pongezi. Naona kuna makosa ya hapa na pale lakini natumai mtaimarika siku za mbeleni.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.