kwamamaza 7

Kanali Léopold Hatungimana ameharibu mambo kaika gereza ya Gitega

0

[ad id=”72″]

Tarehe 4 Januari 2017 wakati kanali Léopold Hatungimana anaye kujikana kwa jina la Muporo alipo chukuliwa kuhamishwa kwenye gereza nyingine wafunga walifanya mgogoro wakisema abaki hapo.

Hapo kitendo hicho ya kumuhamisha kikakoma, na yeye hushutumiwa kuwa aliambatana na wanajeshi wengine ambao walipinga muhula wa tatu wa rais Nkurunziza mwaka wa 2015.

Tarehe 25 Septemba 2015 ndipo ilisemakana kua Muporo amefungwa wakati familia yake walikua wakisema aliondoka akielekeza kwenye kikao kikuu ya askari jeshi huko Burundi kwenye alikua akifanya kazi yake ya kila siku, na alikua mpiganaji wa jeshi la CNDD FDD.

Baada ya kukamatwa kwake, msemaji wa jeshi la Burundi, kanali Gaspard Baratuza, yeye alisema kua wamushutumu kusambaza silaha kiolela katika wakaaji.

Wakati ilisemwa kua yeye husambaza silaha, Radio Publique Africaine wao wasema kuwa kanali Léonidas Hatungimana amefungwa kwa ajili ya kuwatorokesha maafisa wengine wawili huo mwezi wa tisa 2015.

Na hao wawili waliotoroka ni Lt Col Edouard Nshimirimana na Major Emmanuel Ndayikeza alikua kiongozi makamu wa kambi la Muha, nahusemwa kua walikimbia wakiwa pamoja na wanajeshi wengine wengi wakiwa na silaha zao, na husema kua na uhusiano na kufungwa kwa kanali Léonidas.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″][ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.