kwamamaza 7

Kamonyi:Wakazi wa tarafa ya Karama washerekea sikukuu ya kula matunda ya kwanza ya kilimo(umuganura)

0

Wakazi wa tarafa ya karama leo tarehe 25 Agosti 2017 wamesherekea sikukuu ya kula matunda ya kwanza ya kilimo(umuganura) kwa kumpa  mbuzi mwenzao,Clementine Mukandayambaje ili kumuezesha kjiepusha na ufukara.

Clementine akipokea mbuzi waliyompa

Kiongozi wa tarafa ya Karama,Niyobuhungiro Obed ameambia Bwiza.com kuwa ni desturi ya sikukuu hii watu kukaa karamu,amesema”Sikukuu hi muhimu sana kwa utamaduni”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi huyu amehamasisha wakazi kuendelea kusaidiana kati yao.

Watu hula munayu kwenye sikukuu hii

Mada ya sikukuu ya mwaka huu ni “Umuganura isooko y’ubumwe n’ishingiro ryo kwigira” yaani ‘Umuganura’ asili ya umoja na kiini cha kugitegemea.

Watoto wakikula maharagwe na maziwa

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.