kwamamaza 7

Kamonyi: Vyeo kwa jina la ‘Ubudehe ‘ vyazuia wakazi upatikanaji wa bima ya afya

0

Wakazi wa wilaya ya Kamonyi,kusini mwa nchi wametangaza kumaliza miezi nne bila bima ya afya kutokana na kuwa  baadhi yao hawana vyeo kwenye orodha ya vyeo vya ‘Ubuehe’ ama walikosa majina yao kwenye orodha hii.

Wakazi wamesema kuwa walijikuta  katika vyeo ambavyo hawastahili kulingana na mali wanayomiliki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao ametangazia VOA kuwa serikali ilimpa cheo cha tatu,jambo lililomfanya kumaliza miaka miwili bila bima ya afya.

Mwenzake amesema kuwa na hata wale waliokubaliwa kupatiwa bima ya afya kutoka serikali hawajapata kwa kuwa viongozi huwambia kusubiri siku nenda rudi.

Sistahili kuwa katika cheo cha tatu,sina kuku,mbuzi hata  na ardhi sina pa kuishi”mwingine ameongeza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,wakazi wameongeza kuwa huduma mbaya iliyoko kwenye mambo ya utoaji wa bima ya afya iliwafanya wakate tamaa ya kulipa bima hii.

Wakazi wanalalamikia kutokuwa na bima ya afya wakati ambapo kulitolewa sheria ya kuadhibu wale ambao hawajalipa fedha za bima ya afya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.