kwamamaza 7

Kamonyi: Meya Udahemuka Aimable ajiuzuru

0

Katika kikao maalum cha halmashauli ya utendaji ya wilaya ya Kamonyi,Udahemuka Aimable ametangaza kujiuzuru kwa misingi ya kibinafsi, tarehe ya leo hii 20/Juni 2017

Meya huyu ambaye amejiuzuru,amekuwa akapatikana na tabia zisizomstahili zikiewemo ulevi kulingana na duru za Bwiza.com. Amewasilisha barua yake ya kujiuzuru kwa ya halmashauri ya utendaji ya wilaya ya Kamonyi

Udahemuka Aimable alimfuatilia ,Rutsinga Jacques aliyeimaliza mihula yake anayoruhusiwa na sheria katika uchaguzi wa awali wa wameya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Meya huyu ,Udahemuka Aimable alizaliwa Oktoba 1976, na alizaa watoto watatu akiwemo mvulana na wasichana wawili. Alizaliwa katika Musambira wilaya ya Kamonyi na akasomea Shule la msingi la Cambwe katika tarafa ya Musambira.

Alisomea pia kwenye Shule la Mseto la Indangaburezi na baadaye akaendelea na masomo yake ya chuo katika Chuo Kikuu cha Rwanda akafuata masomo ya siasa na Uongozi.

Katika kazi alizozifanya aliwahi kuwa mfanyakazi katika Wizara ya Ulinzi(MININTER), ambapo alisitisha kazi hiyo alipochaguliwa kuwa meya . Aliwahi kuwa mwanajeshi wa RPA kutoka mwaka wa 1994 hadi 1997 alipostaafu.

Katika mwaka wa 2012 alikuwa katika Kikosi kilichokwenda Sudani mjini Eldei kwenye Utumwa wa Kulinda Usalama na akaendelea na kazi yake katika MININTER aliporudi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.