kwamamaza 7

Kakuta minyoo 150 ndani ya tumbu ya mke

0

Neha Begum, mke mwnye umri wa miaka 22 anaye ishi india alipo fanyiwa upasuaji kakuta minyoo 150 ndani ya tumbu lake.

Kama vile husema daktari aliye fanya upasuaji wa Neha Begum mwenyeji wa Chandauli, kaskazini ya India alivyotangaza kua mke huo alikua na maumizi tumboni kuzidi kiasi na akitapika.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Alifanyiwa upasuaji katika hospitali ya KG, daktari walipo chunguza wakaona minyoo zikizorota tumboni mwa mke huo na kila myoo ilikua na santimeta 25 za urefu.

Daktari Anand Prakash Tiwari, eti “ tulishtuka tulipo ona hayo kwani si kawaida, tulikuwa tumeona minyoo tatu ama inne, ila ilikua mara ya kwanza kuona minyoo nzima zikitembea tumbobi mwa mtu “.

minyoo1

Amesema kua mke huu ni mwenye bahati kwa kua bado zilikua hazija panda kwenda ubongo, kwani ingelikua shida kubwa.

Baada ya msaada huo, Neha Begum kufuatana maumivu alio kuwa nayo, amesema kuwa ameyaanza maisha mapya. Aliumia siku kazaa bila kupata usingizi akilalamika siku kwa siku, anawashukuwa madaktari waliomusaidia kutatua shida hilo kubwa.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.