kwamamaza 7

Kagame Paul yashinda uchaguzi kwa ushindi wa kishindo.

0

Paul Kagame ndiye yaongoza baada ya Tume ya Uchaguzi ya Rwanda kutangaza asilimia 80 za kura zilizokwisha hesabiwa kutoka wilaya zote na inaonekana hakuna yeyote atayemfuata ikiwa sasa anaongoza kwa asilimia 98.66.

Walioshiriki uchaguzi kwa ujumla ni takriban milioni 6.9 za wapiga kura na kura ambazo zimekwisha hesabiwa ni milioni 5498414

Kulingana na kura za jumla Kagame Paul yaongoza na asilimia 98.66 akifuatiwa na Mpayimana Philippe na asilimia 0.45 halafu Dkt Frank Habineza wa chama cha Green(DPGR) na asilimia 0.72.

Mpayimana Philippe amempongeza rais Kagame kwa kuwa mshindi wa uchaguzi huu na ameongeza pia kwamba zoezi zima lilikwenda vizuri kwa na lilikuwa wazi.

“nitaendelea kutekeleza mipango yangu na ningependa kumkaribisha yeyote atakayetaka kujiunga naye”

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.