kwamamaza 7

Kagame kueleakea ubejiji katika Mkutano wa Rwanda Day

0

Rwanda Day ni mkutano ambao unawaleta pamoja wanyarwanda na Marafiki wa Rwanda katika majadiliano yenye madhumuni ya maendeleo ya nchi.

Kumekuwa na uvumi kuwa rais Kagame atashiriki kwenye mkutano wa Rwanda Day ambao unatarajiwa kufanyika mjini Brussels nchini Ubelgiji tarehe 10 Juni 2017. Imekwisha fahamika kwamba atashiriki mkutano huo ambao unafanyika kwa mara ya 9.

Rwanda Day ambayo inawaleta pamoja wanyarwanda wanaoishi Diaspora kutoka pande tofauti za dunia na hata marafiki zao wakati huu inafanyika mjini Brussels wakati ambapo ya awali ilifanyika mjini San Fransisco katika California ikiwa na jina “Rwanda Cultural Day”.

Rwanda Day inayotarajiwa kufanyika mjini Brussels itakuwa ni kwa mara ya pili itakapokuwa ikifanyika ya awali ikiwa imefanyika hapo 2010 na ilikuwa ni mara ya kwanza ya Historia ya Rwanda Day.

Katika Rwanda Day ya 2010, mada kuu ilikuwa miondombinu iliyokuwa imekwisha jengwa baada ya kuharibiwa katika mauaji ya Kimbari dhidi ya watusi ya 1994.

Rais Kagame aliwahimiza wanyarwanda kudhumisha tabia ya kujitegemea kuliko kutegemea misaada ya nje. Kwa kuwa asiewania utu wake hawezi kufika maendeleo ya binafsi kulingana na hali ilivyojitokeza kwenye nchi za kiafrika na hata nchi nyingine mnamo miaka iliyopita.

Isipokuwa miji hii iliyotajwa hapa juu Rwanda Day kwa sasa imekwisha fanyika katika miji mbalimbali ambayo ni kama Chikago Tarehe 10 Juni 2011 kwenye hoteli ya Hyatt Regency.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwaka 2015 kulifanyika Rwanda Day nyingine mjini Dallas ambayo ilijumuisha vijana wakijadili mchango wao kwenye maendeleo ya nchi.

Katika Rwanda Day ya hivi awali ambayo ilifanyika 2016 mwaka jana, rais Kagame alisisitiza kwamba Rwanda na Afrika kwa ujumla hazina faida yoyote kutegemea misaada angalau wangefaidika wakiombwa misaada.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.