kwamamaza 7

Kagame apokea kamati ya washauri wa mageuzi ya Umoja wa Afrika

0

Rais Paul kagame wa Rwanda, jana aliwapokea washauri katika mageuzi ya Umoja wa Africa katika (AU) katika mkutano wa nne ulifanyiwa Muhazi; mkoani Mashariki.

Wanakamati hawa walikiri maendeleo yalifikiriwa baada ya mkutano wa umoja wa Afrika uliopita hivi wakifasili uwezo unaohitajika ili kutekeleza lengo la umoja wa Afrika (AU) la kuweza kugharamia bajeti ya shiriki la umoja wa mataifa ya Afrika.

[ad id=”72″]

Kamati hii ilizungumza juu ya kuzalisha uwezo wa Umoja wa Afrika kama ilikubaliwa katika Mkutano wa 27 wa Umoja wa Afrika jijini Kigali nchini Rwanda.

31453019552_66abdb3603_z

Umoja wa Afrika (UA)  ni muungano wa nchi 54 za Afrika ulioanzishwa mnamo Julai 2002. Umoja huu unaendeleza kazi za Umoja wa Muungano wa Afrika (OAU) uliokuwepo 1963 hadi 2002.

31483724351_c072a5401d_z

Nia ya umoja huu ni kujenga muundo na mfumo wa kisiasa, wa kiuchumi, na wa kijamii ili kufikia wakati ambapo bara la Afrika litakuwa na umoja madhubuti wa kujiweza.

Dhumuni kubwa la umoja huu ni kuunganisha nguvu za mataifa ya Afrika ili kuweza kutatua matatizo yanayokabili bara hili kama vile vita, njaa, Ukimwi na mengineyo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.