Swahili
Home » Kabuga:Lori imefanya ajali pamoja basi
HABARI

Kabuga:Lori imefanya ajali pamoja basi

Leo Ijuma asubui mapema akaribu saa mbili, sehemu ijulikanayo kwa jila la Kabuga Lori ambayo ilikuwa ikielekeza jimbo la Mashariki iligongana na basi ambayo iliwa na wasafiri, wengi kati yao wakajeruhiwa.

Taarifa husema kwamba ajali hio ilitokana na lori ambayo haikupenda kurarua mwendesha basikeli na ikawa chanzo cha ajali cha kugongana na basi yenye kuwa na wasafiri.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hadi sasa hakuna aliye poteza maisha ila wengi wao walikuwa wakikento baada ya kiongozi wa busi hiyo ya aina ya coaster walijeruhiwa vikali na ilibidi nguvu kuwatosha ndani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com