kwamamaza 7

Jeshi mwenye cheo cha Luteni Kanali afariki baada ya kupigwa kinyama

0

Keba Nekepere, Mwanajeshi wa Uganda mwenye cheo cha Luteni Kanali wakati wa sikukuu ya krismasi alijaribu kuiba mufanya biashara wa mobile money na ndipo alipigwa na mwisho pumzi ikamwishia akafariki dunia kama vile Chimpreports husema.

Mwakilishi makamu msemaji wa polisi mjini Kampala Paul Kangave amehekikisha na kusema kwamba hayo yalipita karibu saa tanu za mchana wakati alitafuta kuzurumu shilingi 500.000, ndipo Luteni Kanali Keba Nekepere alikamatwa na kupigwa hadi kufa huko sehemu ya Nantabuulirwa.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

“Alijaribu kukazia mfanya biashara wa mobile money ampe pesa kwenye simu yake, ndipo mama mfanya biashara alilalamika na kelele ya huo mama ndio ilisukuma watu kukusanyika na kuanza kumpiga huo jeshi hadi kufa”.

Kwa kumaliza msemaji wa polisi amesema kwamba waliposaka maiti ya marehemu walikuta alikuwa na silaha ya aina bastola na kitambulisho chake cha kijeshi chenye cheo cha Luteni Kanali.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.