Hata kama kila nchi ina hali ya ulinzi na kuzangatia usalama, na ni hivyo kuwa na upekee wa mafunzo kwa wana jeshi kwa ngambo ya silaha, mwenendo, kwa hio nchi fulani huogopwa kwa ajili ya upekee wake.

Mara nyingi watu huogopa wana jeshi, ukitazama vizuri wana jeshi ni watu wapole na wanyenyekevu ulimwenguni kwa kuwa hawachokozi mtu yeyote. Hayo yote hutokana na mafunzo wanao pewa kitofauti na kawaida.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mara nyingi si rahisi kuona wana jeshi wakiwa kwenyi mafunzo, na wakati picha zao zinaonekana watu hufurahia sana kwani si kawaida kwa uona.

Picha za jeshi maluum zilizo shangaza sana watu wengi mno, ni wakati picha zilionekana wana jeshi wakila nyoka mbichi wakinywa na dama yenye sumu, na unaweza kujiswali itasaidia nini mafundisho yao ila ni siri yao.

PICHA

nyok3 nyok4 nyok5

A U.S. marine kills a chicken with his teeth during a jungle survival exercise with the Thai Navy as part of the "Cobra Gold 2014" joint military exercise, at a military base in Chanthaburi province February 13, 2014. About 13,000 soldiers from seven countries, Thailand, U.S., Singapore, Indonesia, Japan, South Korea and Malaysia are participating in the 11-day military exercise. REUTERS/Athit Perawongmetha (THAILAND - Tags: ANIMALS MILITARY POLITICS) - RTX18PRJ

nyok1 nyok2

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.