kwamamaza 7

Jeshi la Uganda tayari kulipiza kisasi askari aliye uawa na Al Shabab

0

Jeshi la Uganda limeambia wapiganaji wa Al Shabab kuwa watajutia kifo cya askari jeshi wa Uganda aliye uawa kinyama na Al Shabab aliye tekwa Agasti 2015.

Aliyekuwa musemaji wa Jeshi la Ugand, Lt Col. Paddy Ankunda alisema kuwa Al Shaba ilipita kinyume na kanuni kimataifa za kuwalinda wafungwa wa vita.

« tuliona kanda ya video tena haikubaliwi » huo ni Lt. Col Ankunda anayesema jinshi jeshi huo aliuawa na ilisambazwa na Al Shabab, eti : Al Shabab inapita kinyume na kukanyaga kanuni kimataifa, watalipa  uharibifu huo ».

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Kifo cha Pte Masasa aliye zaliwa katika wilaya ya Busia kilikamatwa video na kusambazwa na Al Shabab juma inne kama vile Daily Monitor husema.

Askari huyo alitekwa nyara wakati waasi wa Al Shabab walishambulia kambi la jeshi la Uganda huko Somalia sehemu ya Janaale kusinimangaribi mwa Mogadishu,  na wanajeshi 19 wa Uganda walifariki.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.