kwamamaza 7

Jeshi la Rwanda wamefundisha viongozi wa Bangui umuhimu wa kazi ya jumuiya

0

Viongozi wa ngazi za msingi katika nchi ya Centrafika wapatao 220, kutoka katika wilaya 8 na sehemu zingine kando ya mji mkuu wa Bngui, tarehe 19 Januari 2017 walianza mafundisho kuhusu umuhima na kazi ya jumuiya na matokea yake.

Mafundisho hayo ya siku tatu yalitayarishwa na kikosi cha 3 cha jeshi la Rwanda ambao wapo katika nchi ya Centrafrika utumwani kuhamasisha usalama na amani (MINUSCA).

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Jemadari wa kikosi cha 3 cha jeshi la Rwanda huko Bangui, Lt Col C KIRENGA aliwashukuru wote waliofuata mafundisho hao kwa kuwa waliziacha shuguli zao za kila siku na kuja kufundishwa siku tatu ili waweza kuwa na wasiliano kati ya vingozi na raia wa nchi. Waliambiwa kuwa kazi ya jumuiya husaidia kwa kujenga umoja wa raia pia hujenga nchi.

Kiongozi wa mji wa Bangui, Emile Gros-Raymond NAKOMBO alishukuru sana jeshi la Rwanda kwa yale mafundisho kwa ajili ya viongozi na wakaaji, hata aliwashukulu namna wanasaidia kujenga Centrafrika.

Mafundisho hayo kwa ajili ya kazi jumuiya yalianza tareh 19 Januari 2017 hadi tarehe 21 Januari 2017 yaliandaliwa na jeshi la Rwanda wenye kuwa utumwani Bangui, wakifundisha umuhimu na matokea ya kazi ya jumuiya kua ni hamasisha umoja na kujijengea nchi nzuri.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.