Swahili
Home » Jeshi la Rwanda latoa msaada nchini Tanzania
HABARI MPYA

Jeshi la Rwanda latoa msaada nchini Tanzania

Ndege ya jeshi la Rwanda ikizima moto

Jeshi la Rwanda kwa kutumia ndege wametoa msaada wa kuzima moto kwenye mpaka wa Rusumo,upande wa Tanzaniya.

Moto huu umezuka kutokana gali la mafuta ambalo limegonga magari mengine yaliyokuwa kwenye mpaka, upande wa hii nchi.

Msemaji wa Jeshi la Rwanda (RDF), Luteni Innocent Munyengango ameeleza vyombo vya habari nchini Rwanda kuwa ndege ya Rwanda imezima huo moto kwa kutumia maji.

Moto ambao umezuka kwenye mpaka wa Rusumo nchini Tanzaniya

“Ilikuwa ikichota maji karibu huko” amesema  Luteni Kanuni Munyengango

Kuna taarifa kwamba magari sita yamechomwa na bei ya mali iliyoharibika haijahesabiwa.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com