Jana jumamosi tarehe 12 yasemekana kama wanajeshi wa Rwanda wenye kuulinda usalama mpakani walifyatuwa risasi raia wa Congo kwenye mpaka ujulikanalo kwa jina la Petite barriere wakisema kwamba alivuka mpaka kwa hali isiyo kubaliwa kama vile husema radio Okapi.

Kabla ya kitendo hicho yasemekana kwamba vijana wa DRC waliinua mzozo ili kupambana lakini askali polisi wa Congo wakawatuliza kwa upole.

[ad id=”72″]

Utangazajihabari husema kwamba maiti ya marehemu imechukuliwa na kuwekwa kwenye hospitali kuu ya Goma Hôpital Général de Goma (Nord-Kivu).

Kwa upande wa jeshi la Rwanda (RDF), msemaji wa jeshi la Rwanda Lt Col René Ngendahimana amesema kwamba hawajajua taarifa hio, ila watafuatilia na kujua taarifa zaidi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.