Swahili
HABARI

Jeshi la Marekani tayari kurushana na Urusi

Askari jeshi wa Marekani waendelea na kushusha zilaha kubwa kubwa na vifaa vingi vya kivita sehemu ijulikanayo kwa jina la Bremerhaven kaskazini ya nchi ya Ujermani fasi ya kuzuia Urusi na kuhakikisha usalama sehemu ya mashariki.

Luteni Jenerali Tim Ray kamanda wa Marekani kwa Ulaya asema kuwa sehemu hio ni nzuri sana kwa kuweza kupambana na kelele ya Urusi.

Nchi ambazo huunda NATO kama Lithuania, Estonia na Latvia ambazo huwaweka raia wa Urusi kama wakaaji wamekua na hofu kuwa Urusi yaweza kuwashambulia vile ilivyo fanya kwa nchi ya Ukraine.

Nchi zifuatazo, Ujerumani, Canada na Uingereza nao pia wametuma vikundi kwa kuwasaidia hizo nchi ambazo huhofia, Estonia, Latvia na Lithuania kwa ajili ya usalama

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com