kwamamaza 7

Je,nini kitakachotokea baada ya marekani kupunguza msaada  wake kwa Rwanda?

0

Suala la litakalotokea baada ya Rais wa marekani,Donald Trump mwanzo wa mwaka huu kutangaza kwamba watapunguza msaada kwa nchi za Afrika ikiwemo Rwanda.

Kunatarajiwa kwamba jambo hili litaathiri sana bajeti ya jeshi na miradi ya kupambana na malaria.

Hili ni baada ya marekani kukoma kutoa msaada wake kwa Rwanda elfu $400 kufuatia mashtaka ya  kuwa Rwanda ilikuwa ikiwasadia wanamgambo wa M23 nchini DR Congo.

Kwa upande mwingine,Rwana ilianzisha mradi wa kujitegemea kwa jina la ‘Agaciro Development Fund’ ili kupambana na suala hili la kukataliwa msaada.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rwanda ilitegemea  msaada wa nchi kama vile Marekani ($ miliyoni 168),Uingereza ($miliyoni 107) na benki ya kimataifa($miliyoni 286) mnamo mwaka 2016.

Pamoja na hili,Rais Trump mwanzoni mwa wiki hii alitangaza kuwa nchi yake itapunguza 22% za fedha zilizokuwa zikitolewa kwa Umoja wa Mataifa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Rwaka Gaston/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.