Home HABARI MPYA Je,Mmoja mwa wapinzani wakubwa wa serikali ya Rwanda,Faustin Twagiramungu aliaga dunia?
HABARI MPYA - SIASA - September 25, 2017

Je,Mmoja mwa wapinzani wakubwa wa serikali ya Rwanda,Faustin Twagiramungu aliaga dunia?

Watu wengi wanajiuliza namna ambavyo mpinzani mkubwa wa serikali ya Rwanda na kiongozi wa chama cha upinzani  RDI-Rwanda Rwiza,Faustin Twagiramungu,72 kifo chake hakikujulikana nchini Rwanda.

Google inaonyesha kuwa Twagiramungu alifariki

Kinyume na haya,unapojariku kutafuta jina lake kwenye intaneti,Google inaonyesha kwamba Faustin Twagiramungu alifariki tarehe 14 Septemba 2017 taarifa ambazo wengi wanasema kwamba ni kosa la Google.

Mwanasiasa huyu aliyewahi kuwa waziri mkuu nchini Rwanda tarehe 19 Julai mwaka 1994 hadi 31 Agosti 1995 kisha akajiuzulu, anaishi Bruxelles,nchini Ubelgiji.Alizaliwa Cyangugu,magharibi mwa nchi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Aliwahi kuwania uchaguzi wa Rais mnamo mwaka 2003.

Chunguza hapa:https://www.google.rw/search?q=faustin+twagiramungu&oq=Faustin+TWAGIRAMUNGU&aqs=chrome.0.69i59l2j69i60j69i61j69i60j0.8634j0j7&sourceid=chrome&ie=UTF-8

Habari hii tutaifanyia ufuatiliaji

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.