kwamamaza 7

Je,ilichokifanya Marekani ni upuuzaji wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994?

0

Suali hili yeyote anaweza kujiuliza anapotupia jicho tangazo kwa vyombo vya habari kuhusu mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 ambalo aliandika Waziri hali wa Marekani, John J.Sulivan tarehe 7 Aprili 2018.

Katika ujumbe huu,John J.Sullivan alisema “Maadhimisho ya mauaji ya kimbali mwaka 1994 nchini Rwanda kwa mala ya 24”.Kinyume na hili, jina la mauaji ya kimbali yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994 ni “Mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994” kama ilivyokubaliwa na Umoja wa Mataifa(YUNA) tarehe 30 Januari mwaka 2014(Ref:PP:13:).

Tangazo kwa vyombo vya habari la Marekani kuhusu mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994

Kwa hili,yeyote anaweza kujiuliza kwa nini huyu kiongozi kwa niaba ya nchi yake anamua kutangaza haya.

Mh.Sullivan aliandika”Siku hii tunawaunga mkono Wanyarwanda kukumbuka mauaji ya kimbali mwaka 1994”.

Pia jingine ni  namna  alivyosema kuwa waliofariki ni maelfu mia nane(800,000) jambo ambalo ni kinyume na kuwa watu zaidi ya miliyoni moja walifariki wakati wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hapa, Sullivan aliandika” Siku hii tunawaunga mkono Wanyarwanda kukumbuka mauaji ya kimbali mwaka 1994, watu maelfu mia 800 wakiwemo wanawake,wanaume na watoto waliuawa kiunyama”.

Pamoja na haya,Wachambuzi mala nyingi wanasema kwamba baadhi ya namna za kupuuza mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 ni kupunguza idadi ya waliofariki na kubadili jina lililokubaliwa na YUNA na nyingine.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.