kwamamaza 7

Jamii za wafungwa wa gereza ya Gasabo wanaomba kujulishwa mahali pa uhamisho

0

Jamii ya waliokuwa katika gereza ya Kimironko Gasabo wanaomba kujulishwa mahali walipo hamishwa watu wao katika gereza tofauti za nchi baada ya maandamana katika hereza hiyo.

Baada ya siku mbili gereza kuwaka moto, kilicho fuata ni mgogoro wakishutumu maisha mabaya kwa kuwa vitanda na mavazi vilichomwa kwa moto.

Wiki nenda ndipo kwenye kikao cha gereza hiyo kaingia magari makubwa na kuhamisha wafungwa katika gereza tofauti, ila jamii zao walipo kuja kuwatazama wakaambiwa kurudi siku nyingine ili kujua kama wapo mahali hapo kama vile husema gazeti la the East African.

Kankindi Mukamusoni mume wake alikuwa katika gereza hiyo ya Gasabo/ Kimironko eti “tulipo kuja siku ya ijuma tulikuta wapo wanahamishwa, ila hatujui kama watu wetu wangali hapa, tunaambiwa kurejea juma pili, tulipo rudi tukambiwa kwamba wapo na kazi ya uongozi”.

Siku ya ijuma ya wiki nenda ndipo magari makubwa yalikuwa yakiwahamisha kwenda gereza ya Mageragere na mahali pengine, na kila gari ilikuwa ikichukuwa watu 150 kama vile husema gazeti  hilo.

Uongozi wa gereza (RCS) wao husema hesabu ndogo ya watu walio zua mgogoro na wengine wenye walikua mahali palipo ungua moto ndio kahamishwa, na wanakana kuwa walinyima taarifa ya kujulisha majamii ya wafungwa walio hamishwa kwa sababu wapo na orodha ya wafungwa walio hamishwa na mahali walipo kwenda.

Msemaji wa RCS amesema kuwa wafungwa 39 wenye tabia mbaya ndio kakua  chanzo cha mgogoro na wahusika na usalama ndipo kakomesha mgogoro huo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wafungwa karibu 3,000 kati ya  5,000 wenye walikuwa katika gereza ya Kimironko ndio kasumbuwa na moto, na wengi wao ni wahusika na mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.