kwamamaza 7

Ivory Coast:Rais Kagame ahudhuria mkutano wa nchi za Afrika na Ulaya

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame amehudhuria mkutano wa nchi za Afrika na Muungano wa Umoja wa Ulaya mjini Abidjan,Ivory Coast utakaoanza kesho tarehe 30 Novemaba 2017.

Mkutano huu una mada ya ‘Harnessing the Demographic Dividend through Investiments in Youth’ kwa kusisitiza mipango ya maendeleo ya kiuchumi na maisha ya vijana wa bara hizi mbili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Marais wengine ni Rais wa Nigeria Muhammud Buhari na Rais wa Afrika Kusini,Jacob Zuma.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.