kwamamaza 7

Israel:Wahamiaji karibu kutumwa nchini Rwanda

0

Ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali ya Israel jana imetangaza mahakama kuu jambo la kuwatuma wahamiaji asili ya Afrika kuwatuma nchini Rwanda na Uganda kulingana na mkataba uliotiliwa saini kati ya nchi hizi.

Afisa kwenye mahakama kuu,Shosh Shmuel amesema kuwa kunatarajiwa kuwatuma wanafrika asili ya nchi za Eritrea,Sudani Kusini isipokuwa wakazi wa Darfur.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mjibu wa taarifa za Haaretz zinasema kwamba wapinzani wa jambo hili wanasema kuwa kitendo hiki ni ukiukaji wa haki za binadamu,jambo ambalo serikali ya Israel inakanusha mno.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Serikali ya Israel ina mpango wa kufunga kambi ya Holot iliyoko eneo la Negev,jambo linalolenga kuwapatia wahamiaji kuondoka nchini Israel kwa haiari ama kufungwa muda usiojuulikana.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.