kwamamaza 7

ISIS imejigamba shambulio lililo sababisha watu 39 kufariki dunia katika mkahawa

0

[ad id=”72″]

Wanamgambo wa kiislamu (ISIS) wamejigamba shambulio lililo fanywa juma moshi katika mkahawa mjini Istanbul wa nchi ya Uturuki.

Polisi ya Uturuki imetangaza kwamba yaendelea na upelelezi kwa ajili ya shambulio hilo lililo sababisha watu 39 kufariki na kumtafuta yule aliye piga lisasi. ISIS  imetangaza kwamba shambulio hilo halikufanywa na wakurde kama vile walitangaza mwanzo.

uturuki1

RFI husema kwamba mtu moja alikuja na kumpiga lisasi mwanapolisi aliye  kua nje, kiisha kaingia ndani ya mkahawa na kupiga lisasi kiolela bila kuchagua na husemwa kama yawezekana kua alibadili mavazi kabla ya hayo na kuondoka kukimbia.

Husemwa kua wanapolisi wa Uturuki ni watoto na wanafanya mambo yasiyo mema na tabia mbovu, pakiwemo aliye muua balozi wa Urusi mwezi nenda.

uturuki2

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema kwamba yupo na alama ambazo huonyesha waziwazi kua Marekani (USA) huwaunga mkono wanamgambo wa kiislamu (ISIS) huko Syria.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.