kwamamaza 7

Ingabire Victoire amefanywa waziri katika serikali ya Padri Nahimana Thomas

0

Padri Nahimana Thomas ambaye haja pata bahati ya kuwasili Rwanda ili kuania urais ambao uchaguzi utakuwa mwezi Agasti mwaka huu, hivi sasa ameunda serikali ya ukimbizi na alimufanya Ingabire Victoire kuwa waziri.

Kiongozi mkuu wa serikali hio ni Padri Nahimana Thomas akiwa na mawaziri 14 pakiwemo Ingabire Victoire aliyehukumiwa kufungwa miaka 15 tangu tarehe 13 Disemba 2013. Taarifa husema ya kuwa rais Nahimana makamu wake ni waziri mkuu na mwengine mmoja kama vile husema bbc.

Victoire Ingabire, Umuhoza na Deogratias Mushayidi wenye kuwa katika serikali hio, mmoja alifanywa kuwa mwenye kuhusika na Milan (utamaduni), mwengine jamii na kujali kina dada na mama,na mwenye kuhusika na mahakama, na hao wote wakiwa na makatibu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Serikali hii ambayo yupo ukimbizini inaalika na kuomba serikali ya Rwanda kuhuzuria maongezi na kufungua wafungwa ila hawakutaja majina. Jambo lingine ni kuwa wasema sherti tarehe 23 Mach 2017 Rwanda iwe imefungua milango ili Wanyarwanda wote waingiye ili washiriki uchaguzi wa urais utakao fanyika mwezi Agasti.

Nahimana amepoteza bahati ya kufika Rwanda mara pili, mara ya kwanza alirudilia kwenye uwanja wa ndege Nairobi, ya pili alikuwa angali Ulaya.

Namna ya kukosa jinsi ya kufika Rwanda na Rais Kagame kafikiriya na kusema kama padri Nahimana anashutumia anaweza achiliwa na kuingia na kujifafanua.

Rais Kagame amesema ya kuwa haelewi sababu anakatazwa kuingia, kama mtu anatafutishwa na mahakama, inawezekana kukatazwa ili asiweze kusambaza mafikara mabaya ya Kimbari.

Rais Kagame kaongeza na kusema mtu kama Nahimana na wengine hawawezi kuvamia Rwanda, hayo Rais aliyasema tarehe 11 Disemba 2016 katika mkutano wa chama FPR-Inkotanyi

Padri Thomas Nahimana ni mwenye ukoo wa Cyangugu na huko alifanya kazi ya upadri katika kanisa Katolika, alipo toka Rwanda na kwenda Ufaransa ndipo alionekana kama mpinzani wa serikali, hivi anahusika na kuwania kuwa rais wa Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.