kwamamaza 7

Ingabire Immaculée hakubaliane na wanao omba msaada wa kusoma chuo kikuu

0

Kiongozi wa Transparence International Rwanda(TIR), Ingabire Immaculée husema ya kuwa kujifunza chuo kikuu kuwa mambo ya zaidi bila kuwa ya msingi kwa kuwa huhitajika mtu anaye jiweza kipesa.

Ingabire Immaculée huona ya kwamba hakuna mtu anaye stahili kuomba msaada ili aingie chuo kikuu, alisaidiwa kusoma shule la msingi bila malipo, sekondali akilipa pesa chache.

Alisema hayo wakati wa maongozi ya ufumbuzi wa taarifa  (Isesenguramakuru) kwenye redio Rwanda wiki nenda tarehe 4 Mach 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wana shule wengi wanao lalamika ni wenye kuwa katika kikao cha 3 kwa kuwa hulipiwa moja ya pili, ila wenye kuwa katika kikao cha kwanza na pili hupewa miya kwa mia na pesa elfu 25 kila mwezi, ila wenye kikao cha tatu nao piwa wanaomba kulipiwa pesa mia kwa mia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.