kwamamaza 7

Imbonerakure wanatisha wapinzani wa rais Nkurunziza kwenda Rwanda

0

Wakaaji wa wilaya tofauti wa jimbo la Rutana nchini Burundi wanasema ya kuwa nahofia vijana wa kundi tawala (Imbonerakure) kwa kuwa waimba wimo za kutisha wapinzani wakiwaomba kwenda Rwanda.

Wakaaji husema ya kuwa imbonerakure huwatesa na kuwapiga fimbo wengine kufungwa wakati wanapolinda usalama usiku kama vile husema gazeti Iwacu.

Kijana mmoja alisema ya kuwa alipigwa kama kidudu wakali alipo picha mafunzo ya imbonerakure na alikuwa akituma ujumbe kwenye simu yake.

Saa tisa za usiku ndipo imbonerakure huanza kupiga filimbi na kuimba nyimbo za kutisha raia na wamoja wakijicha.

Katika nyimbo zao wanasema ya kuwa wapinzani wa Nkurunziza hawana nafasi Burundi wakisema ni vema waende Rwanda.

Na jambo la kutisha ni kwasabu maovu yote imborakure huyafanya mbele ya macho ya wanao husika na usalama kama polisi na jeshi na inaonekana ni mpango wa serikali.

Raia wa jimbo la Mukamba anasema wakati imboerakure wanafanya mazoezi raia wanaogopa kwenda barabarani, wanasema kuwa wamezoea kuteswa. Gavana wa jimbo ya  Rutana, Bede Nyandwi  anasema ya kuwa hajue taarifa hio ya mazoezi na wanao pigwa nao.

Upande mwengine gavana wa jimbo la Mukamba Gad Niyukuri yeye amesema ya kuwa yanao sema kwa ajili ya imbonerakure ni uongo mtupu kwa kuwa wanaimba nyimbo za amani, wanaimba wakiwa na jembe kwa kufanya kazi ya umma, hawatembee na magogo kama vile wapinzani husema.

Gad Niyukuri aliwakumbusha wapinzani kuacha usambazaji wa mafikara machafu kwa kuwa walishindwa mwaka wa 2015 wakati walipo jaribu kugeuza utawala wa rais Nkurunziza.

Imbonerakure walishotwa kidole sana na Warundi hata jamii za kimataifa kuwa wanatesa na kuua yeyote ambaye anaonyesha ya kwamba anapinga mhula wa tatu wa rais Nkurunziza.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.