Jumapili tarehe 13 Novemba 2016 vijana wa “Imbonerakure” walifanya maandano kwa ajili ya kuwakumbuka vijana wenzao 6 waliOkufa kupitia migogoro iliYOzuka Burundi wakati wa kuupinga muhura wa tatu wa rais Nkurunziza ila watu wengi hawakufurahiya hayo.

imbo1

Raia wengi wa Burundi hawakufurahia hayo na kusema kivipi serikali yaruhusu vijana wa imbonerakuru kuwakumbuka watu wao 6 waliouawa wakati wa muzozo ijapo kuwa kuna ma mia ya watu waliouawa na hawakumbukwi hata kamwe.

[ad id=”72″]

Me Armel Nyongere, akiongea na redio ya kimataifa (RFI), amesema kwamba sherti watu waliouawa wakumbukwe kwa ujumla bila upande moja kwa sababu waliofariki ni wengi wakati wa magogoro ya kupinga muhura wa tatu wa rais Nkurunziza.

Kitendo kilicho ni kuwakumbuka vijana wa imbonerakure 6 wenye kundi tawala ijapokuwa watu zaidi ya mia tano (500) waliuawa tangu mwezi Eprile mwaka jana 2014 hawajakumbukwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.