kwamamaza 7

Ilikua mushtuko kama kupigwa darura tulipoyasikia: Mayor Uwanzwenuwe

0

Wakati utafiti ulitolewa na kutangazwa, uongozi wa wilaya ya Nyabihu ulipo sikia taarifa hio, walisema kua walishituka kwa kusikia kwamba watoto wengine ambao walifubaa ni wa wilaya ya Nyabihu.

Katika utafiti huo uliofanywa 2014-2015 huonyesha kuwa 59% ya watoto wenye umri wa miaka chini ya 5 katika wilaya ya Nyabihu wamefubaa kwa kukomaa.

Uwanzwenuwe Theoneste kiongozi wa wilaya hio ametangaza kua walipo sikia habari hio walishituka, eti “ kwa ukweli tuliposikia hayo tulikuwa kama watu wanao pigwa darura na tukaishiwa tukajiswali ni nini. Kuona wilaya yetu huja na fasi ya kwanza kwa watoto walio fubaa, ijapo kua wilaya hetu ni wilaya ambao wakulima walima kila wakati na tunatosheka kwa ngambo ya chakula “.

[ad id=”72″]

Kiongozi huo hakufurahia yaliotolewa na utafiti kwa kua wilaya hio wavuna ni mengi, kusema kwamba watoto wapatao 59% wamefubaa hakuelewa ni mushtuko kwao.

Katika jimbo la Mangaribi wilaya hufuatana namna hii: Nyabihu 59%, Ngororero 56%, Karongi 49%, Rutsiro na Rubavu 46%, Rusizi 35% na Nyamasheke 34%.

Nchi nzima majimbo hufuatana namna hii : Mangaribi 45%. Kusini 41%, Kasikazini 39%, Mashariki 35%, na mji wa Kigali ni watoto wapatao 23%. Watoto chini ya miaka 5 waliofubaa ni katika wilaya ya Nyabihu, Ngororero, Nyamagabe, ni wengi kwa sababu wao ni zaidi  ½ ya waliokomaa vizuri.

Wilaya ya Nyabihu huenda kuwafundisha wazazi na kuwakagua namna ya kuwalisha watoto kuwapa muda ya kushugulia watoto wato ili wasikutane na tatizo hilo tena.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.