Kiongozi wa polisi ya Rwanda, IGP Gasana Emmanuel apiga yowe kwa ajili ya vijana na wasichana ambao hushinda na kulala kwa kutumia dawa za kulevya kati sehemu tofauti za mji wa Kigali.

Ametangaza hayo juma pili tarehe 5 Februari 2017 kwenye mkutano wa viongozi kutoka vijiji hadi viongozi washauri wa wilaya na wanaohusika na usalama nchini.

IGP Gasana aliwaambia viongozi hao ya kuwa kila mwaka polisi hufikisha karibu kesi 20.000 mahakamani, aliwaomba ni nini la kufanya ili kupiganisha makosa na kuzuia.

Hapo alitilia mkazo wa vijana ambao huteswa na tabia mbovu ya kulala nyumbbani wakiwa na lengo ya kutumia dawa za kulevya na kufanya ukahaba jinsi wapendavyo.

Alitoa mfano na kusema ya kuwa siku ya kazi ya umma kwenye miezi tatu nenda, polisi iliwakuta wakaka na wadada katika nyumba moja na walilala ndana wakitumia pomde haramu, katani na dawa zingine za kulevya bila kuacha uwasherati.

Alikumbusha ya kuwa yanaoharibu usalama wa nchi ni kwa ngazi tofauti; adui wa nchi,wizi, ugomvi na kujeruhi, dawa za kulevya na mengine, maisha mafaya na umasikini, magonjwa na upumbafu, ideolojia mbaya, kutosikilizana na mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri wa utawala wa nchi Kaboneka Francis alisema ya kuwa makosa hayo yote na mengine huvamia usalama wa raia, viongozi wakifanya kazi kwa pamoja hayo yanaweza kukoma.

Eti “nafasi wanaopo tumia hayo ni kwetu, unapaishi, unapo sema watu hutimiza unayoyasema ila wewe ni kama haujali”.

Vijana wamoja ambao huwakilisha wengine wamekubali kujiunga na wengine ili kupiganisha dawa za kulevya bila kujali ya kuwa watakamatwa.

Viongozi ambao huhusika na usalama kwa washauri kama vile walikuwa katika mafundisho Kichukiro, wamesema ya kua usalama kidogo katika wilaya hio hutokana na uzaifu wa wakaaji ambao hawapane taarifa mapenda na wengine ambao hawafikishe kwa ngazi za juu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.