Uangalizi wa waathirika wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Ibuka imeshawishi nchi zote zinazoapatia malazi watuhumiwa wa mauaji ya kimbari kama Ufaransa kufuatilia mwendo wa Canada, Marekani na uhoranzi kuhusu uhamishaji wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mnamo 1994.

Nchi tofauti zilitia bidii kwa kuwapereka walioshirika kwa mauaji hayo ili kuwekwa mahakamani. Ibuka huwashukuru nchi zilizowahamisha watuhumiwa mithili ya Canada iliyowatuma Dkt Leo Mugesera mnamo 2012 na Seyoboka Henri Jean Claude aliyefika nchini Rwanda juzi 17 Novemba 2016.

Marekani imemhamasisha mtuhumiwa Leopold Munyakazi na nchi ya Uholanzi imewatuma watuhumiwa wawili, yaani Claude Iyamuremye na mwenzake Jean Baptiste Mugimba.

[ad id=”72″]

Rais wa Ibuka Prof Jean Pierre Dusingizemungu alisema, “Walionusulika mauaji ya kimbari wanakaribisha uhamishaji huu kwani ni ishara ya sheria. Ni muhimu sana kujenga nchi kwani maridhiano hayawezekani bila sheria. Tunashukuru mshikamano wa kimataifa na kuamini mahakama ya Rwanda.”

“Kwa upande mwingine waliosababisha mauaji ya kimbari wengine wanalinga nchini mbali mbali mithili ya Ufaransa. Nchi hizi zingefuatilia mwendo wa Canada, Uholanzi na Marekani wa kushirikiana na serikali ya Rwanda na kupereka watuhumiwa wa mauaji ya kimbari katika mahakama ya Rwanda.”

Ibuka ni Uangalizi wa shirika za waathirika wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, inakuwa na kazi maalum ya kukuza ustawi wa walionusulika mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi na kuhifadhi kumbukumbu za waathirika pamoja na kupambana na wakataji wa mauaji ya kimbari.

Prof Jean Pierre Dusingizemungu, Rais wa IBUKA

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.