kwamamaza 7

Huye: Polisi imekamata mke akitengeneza pombe haramu (kanyanga)

0

Tarehe 11 April, polisi ya Rwanda katika wilaya ya Huye ilikamata mke ajulikanaye kwa jina la Alphonsine Uwimana akitengeneza pombe haramu ijulikana kwa jina la “kanyanga”, hivi yupo kwenye stesheni ya polisi ya Ngoma.

Msemaji wa polisi jimbo la Kusini, Chief Inspector of Police (CIP) Andre Hakizimana alisema kuwa kumatwa kwa mke huo ilitokana na taarifa waliopewa na wakaaji.

Eti:”kwa ukweli Wanyarwanda wamejua ubaya wa dawa za kulevya, kwa kuwa mmoja wao alipoona Uwimana akipika pombe hiyo alipigiya polisi simu, nasi tulipo fika tukakuta tayari amekwisha tengeneza lita 5 pamoja na lita 300 za pombe ijulikanaya kwa jina la muriture”.

CIP Hakizimana aliomba wanaotumia dawa za kulevya kuacha kwa kuwa hakuna faida, ila huharibu afya na kutiwa mbaroni baada ya kufanya makosa ya kuhusika na hayo.

Amehamasishia raia kuendelea na kupiganisha umasikini pahali ya kutafutisha katika mambo yanayo haribu afya.

Polisi ya wilaya ya Nyagatare pia walikamata nyumbani mwa  mke mwenye umri wa miaka 75 ajulikanaye kwa la jina witwa Makundi Evansi, bokse 6 za pombe zisizo kubaliwa Rwanda za Zebra Waragi, Rwamagana waliakamata Rebero Joseph akiwa na vifurusi 110 vya bangi naye yupo mbaroni.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.