kwamamaza 7

Huye: Ni nini inasukuma wakristu wa kanisa ADEPR kuvamiwa tena kwa upanga

0

Usiku wa alhamisi tarehe 2 Februari 2017, majambazi walivamia tena kanisa la kipantekote Rwanda ADEPR wakawajeruhi watu ambao walikuwa kanisani karibu saa tatu za usiku katika wilaya ya Huye, kijiji Ngoma ambacho kilivamiwa tena wiki nenda.

huyeadepr
Huyu alikatwa usiku wa leo

Mshuhuda husema ya kuwa wakati walikua kanisani karibu saa tatu za usiku walivamiwa na watu karibu 30 wakiwa na mikuki, mipanga na magogo wakaanza kuwapiga na kuwakata kwa ujumla jinsi walikuwa kanisani wote 12.

[xyz-ihs snippet=”google”]

nehemie-bwiza
Nehemi aliyekatwa ijuma wiki nenda

Kwa gafla watu kando ya hapo walikuja kutoa msaada nao wakaanza kukatwa, ila anasema ya kuwa waliojeruhia vikali ni wane na walipelekwa katika hospitali ya Butare CHUB.

Ushuhuda husema pia ya kuwa majambazi hao walikua wakisema ya kwamba waache kuwa nadanganya ya kuwa wanafanya maajabu na maishara.

huye

Leo Ijuma asubui mapemba wakaaji walikua kwenye mkutano kwa ajili ya uvamiaji huo ambao umefanywa sehemu moja mara pili.

Ijuma ya wiki nenda katika hiyo wilaya ya Huye, kanisa hilo lilivamiwa tena katika kijiji cha Ngoma na walijeruhiwa vikali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.