kwamamaza 7

Huye: Nafasi wa machinjo, ya choo na usiku inakuwa kusanyiko za mbwa

0

Katika wilaya ya Huye, tarafa ya Kinazi, kiini ya Gahana wafanya biashara ya kuchinja wanyama wanahuzunishwa na msitu wao wa machinjo kuwa ndio sehemu watu hufanya haja kubwa (choo), na ikiwa jioni inakuwa nafasi ya kusanyiko ya mbwa, mara nyingine watu wanapumzikia ndani ya msitu huo, wafanya biashara hao wanahuzunika wakisema hawajui sababu gani wanafanya kazi yao namna hio na wanalipa kodi na ushuru.

Taarifa husema ya kwamba kuingia katika msitu huo ni kuwa makini sana, macho huchunguza mbwa wanao pigania mifupa na daamu, masio nayo husikia sehemu ya machinjo wanyama wakilalamika, pua husikia harufu mbaya ya damu ya wanyama iliyooza na mafi, vile kwa kutembea kuna wakati mwengine kama hauchunguze vema unakanyanga mavi.

Katika msitu huo www.bwiza.com iliwakuta watu wane kwenye mlima wa machinjo, wawili walichinja mbuzi, chini kidogo mwengine akichinja nguruwe na msaidi wake. Wamedumu miaka tanu sehemu hio, nafasi yao ya machinjo walijaribu kutia simenti.

Mfanya biashara eti “tulijidhuru tukatia simenti, ila wakati tunafika nafasi ya biashara wanatulipisha kodi bila kujua sehemu gani tunapotoka”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu tendaji wa tarafa ya Kinazi, Mugabo Vital, alisema ya kuwa msitu huo hutumiwa kama nafasi ya machinjo, ila alirudilia usafi na kusema kwamba ni vizuri wahusika kujali usafi wa mahali hapo, alisema pia kuwa wapo natafuta kikao kitakacho husika na usafi wa mahali hapo na kuchukua mchafu na kwenda kuitupa.

Kwa kumalizia alisema kwamba kamati yenye kuhusika na usafi itasaidia kufanya usafi mahali hapo wanapochinjia wanyama, swala la mbwa wenye kuwa mahali hapo alisema ni vema kuzifukuza kila mara.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.