Raia wa wilaya ya Huye walifurahia michezo ya rally ambayo magari na pikipiki hutumiwa kwa kushindana. Michezo ya ‘Memorial Gakwaya’ ilipatikana wikendi iliopita tangu jumamosi hadi jumapili; ilikuwa na lengo la kumkumbuka aliyekuwa mchezaji madhubuti, leti Gakwaya Claude.

[ad id=”72″]

Mashindano haya yalishilikiwa na pikipiki pamoja na magari 12 kutoka Rwanda nan chi za majirani, Burundi na Uganda; lakini mshindi hajajulikana baada ya kutokubali matokeo kati ya Mohamed Roshanali kutoka Burundi na Gakwaya Claude.

yarekuraga-moto-mu-kirere

Mshindi kati ya washindani wawili katika rally ya magari atajulikana jumanne. Gari la Gakwaya Jean Claude aliyekuwa pamoja na Mugabo Claude limeisha mashindano likiwa sambamba na gari la Mohamed Roshanali aliyekuwa na Giesen Jean.

mohamed-roshanali-ukomoka-i-burundi-yari-atwaye-subaru

Tangu jumamosi, washindi walivuka sehemu za kata ya Ngoma, Rango kutoka wilaya ya Huye na kupitia katika wilaya jirani ya Gisagara na kuishia kwenye uwanja wa Huye. Kulikuwa na mashindano ya usiku.

hari-ubwo-bazamukiraga-rimwe

abihera-ijisho-bari-benshi
Mashabiki walikuwa wengi wakitazama mashindano

Raia walishangazwa na viongozi wa pikipiki kutoka Afrika ya kusini, Nick de Wit na mwenzake Scott Billet.

Theogene U @Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.