kwamamaza 7

Huye: Mfanyakazi wa kikao cha makumbusho ya nchi ameuawa

0

Jean Pierre Ntaganda alikuwa mfanya kazi aliyehusika na mambo ya uchoraji katika kikao hicho cha makumbusho ya nchi Rwanda katika wilaya ya huye, jana jioni wamemkuta na amefariki msituni hapo karibu, ila bado kujua chanzo cha kifo hicho.

Amb Robert Masozera kiongozi wa makumbusho alisema ya kuwa walitambuwa ya kwamba mfanyakazi huo alikosekana juma inne usiku, waliambiwa na mke wake ambaye alimusubiri kutoka kazini kama kawaida ila hakufika kama vile husema gazeti umuseke.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jana pia hakufika nyumbani hata kazini na ndipo pamoja na polisi wakaanza kutafuta na jioni ndipo wakaona maiti yake msituni katibu na hapo alipo fanya kazi.

Mwili wake hauna ujeruhi ili kufikiriyia kuwa alipigwa, maiti ilipelekwa katika hospitali ya Butare CHUB kufanya uchunguzi na kujua hali ya kifo hicho.

Amb Masozera amesema ya kuwa wanangojea ripoti kutoka hospitali ili wajue chanzo cha kifo, Jean Pierre Ntaganda ameacha mke na watoto wawili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.