kwamamaza 7

Huye: Kiongozi na shemasi 8 wa kanisa la kipantekote ADEPR walipigwa kama mbu

0

Washemasi 8 pakiwemu mwalimu kiongozi wa kanisa la kipantekote Rwanda ADEPR jimbo la Kasikazini, wilaya Huye, kijiji ya Ngoma walipigwa hadi kufa wakitoka katika mkutano wa kanisa.

Haya yalifanyika usiku wa Ijuma tarehe 27 Januari 2017. Viongozi wamoja wa kijiji cha ADEPR Ngoma, jimbo la kasikazini, wilaya ya Huye, walivamiwa na majambaji wakawashambulia na kuwapiga na wengi wao kajeruhiwa vikali. Waliopigwa ni shemasi na mwalimu kiongozi wa kanisa wote wakiwa nane, na wanasema ya kuwa hawakufahamu hao majambazi walio wavamia wakitoka kanisani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa polisi jimbo la kasikazini, CIP André Hakizimana amesema kuwa swali hilo wanalifahamu, ya kuwa lilifanyika usika wa tarehe 27 Januari 2017, ila majambazi hao bado kujulikana na anasema ya kuwa wanaamini ya kuwa kwa siku chache wajambazi hao watajulikana kwa kuwa upelelezi huendelea.

adepr
Kiongzoi wa kijiji Nehemie Ntazika hata sasa angali hospitali
adepr1
Mmoja wa wajeruhi

Taarifa husema ya kuwa hao wajeruhi walichukuliwa katika hospitali ya Butare CHUB, na walipata matibabu na wamoja wao wamerudi nyumbani, ila mwalimu kiongozi wa kijiji, Nehemie Ntazika aliye jeruhiwa vikali hata kamuvunja mkono anatarajiwa kupelekwa kwenye hospitali kuu ya Kigali CHUK .

Hata kama hao 8 walipigwa na kujeruhiwa ni wamoja wa viongozi wa kijiji ya Ngoma ADEPR, mjini Butare, ila viongozi wakuu wa kanisa la kipantekote Rwanda ADEEPR, walisema kwamba swala hilo hawalifahamu, akishuhudia kiongozi mkuu Bishop Tom Rwagasana kupitia simu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.