Swahili
Home » Hong Kong: Rais Kagame miongoni mwa waongozao mkutano wa korido pana
HABARI MPYA

Hong Kong: Rais Kagame miongoni mwa waongozao mkutano wa korido pana

Leo tarehe 16 Mach 2017, rais Kagame alikuwa ndani ya kundi ya wenye waliongoza mkutano wa korido pana (Broadband Commission) huko Hong Kong bara la Aziya.

Kama vile huonekana kwenye Twitter ya ofisi ya urais wa wa Rwanda, rais Kagame alionenyesha ya kuwa Broadband Commission ina umuhinu kwa ajili ya maendeleo kamili.

photo-k

Aliwashukuru walio shiriki mkutano akisema baada ya kikao cha karne, hivi kuna mpango wa maendeleo na kuna hatua ilionekana kwa kusambaza korido pana.

Eti “Nashukuru wanao unda kundi kwa kusaidia kutia nguvu ili wanaoishi ulimwengu wawe na biashara halisi (internet) kwa sababu huwafikia watu bilioni”.

“Tunafikia lengo tukitumika kama serikali, viwanda, uongozi wa raia tukishika muda na kutazama nafasi tunafikia”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kundi la korido pana huundwa na vingozi wa viwanda, wanasiasa, waakilishi wa serikali, jamii kimataifa na wajuzi hata jamii kuhusika na maendeleo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com